jipatieamanimoyoni.blogspot.com
UHALISIA WA UWEPO WA MUNGU
JE MUNGU YUPO KWELI?
Watu wengi wamehoji maswali Mengi ikiwa Mungu yupo au la, na baadhi wamefikia hatua ya kusema kuwa hakuna Mungu!
Swali linakuja ikiwa Mungu yupo wawezaje kuthibitisha Imani yako?
UTHIBITISHO WA UWEPO WA...
Shuleni waalimu wanafundisha kuwa uwepo wa dunia ni matokeo ya kuibuka, na sisi tulitokana na sokwe!.... Je, wewe unafahamu nini kuhusu chanzo Cha dunia hii na sisi Binadamu?
1. Moja Mungu alijua kuwa shetani ataleta madhara duniani ndo maana akamwambia adam awe makini kuna adui atakuja,,,,,
2. Pili Mungu alijua adam na hawa wataasi ndo maana akaandaa mpango wa ukombozi kabla ya kuumba dunia....
3. Baada ya dhambi kuingia Mungu alikuwa ana dili na njia ya kuondoa...
Akili ya Mungu haina kikomo, na akili ya binadamu inakikomo kuelewa mambo yanayomhusu Mungu, inahitaji kumwendea Mungu mwenyewe...kwa unyenyekevu na kicho kuelewa mambo ya kibinadamu mwenye kikomo inahitaji kumwendea binadamu,,,,,,,kamwe usichanganye file kaka.... Mambo ya Mungu usiende kutafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.