Recent content by anatori

  1. anatori

    JamiiForums Tanzania Conspiratorial view of history

    Kwa dodoma napataje hicho kitabu
  2. anatori

    JamiiForums Tanzania Conspiratorial view of history

    ningetamani pia kukisoma hicho kitabu japo in brief
  3. anatori

    JamiiForums Tanzania Conspiratorial view of history

    Huu ni mtazamo wa kihistoria ambavyo watu wakubwa na wenyewe ushawishi katika jamii ikiwemo viongozi wa serikari, jinsi ambavyo wanaungana kufanya njama(conspiracy) ya kuwanufaisha wao lakini yenye madhara makubwa kwa jamii. Kwa sababu ya upofu wa jamii kuhusu matukio ya gizan ya viongozi wao...
  4. anatori

    JamiiForums Tanzania Historia ya Kilwa Kisiwani

    Mpaka sasa kilichobaki kilwa kisiwani ni maghofu yaliyoachwa na watawala wa kikoloni. Kwa sasa maghofu haya yapo chini ya uangalizi wa mamlaka ya uhifadhi wa wanyamapori au TANZANIA WILDLIFE MANAGEMENT AUTHORITY(TAWA)
  5. anatori

    JamiiForums Tanzania Historia ya Kilwa Kisiwani

    Tangu karne ya 7 kilwa kisiwani palikuwa pakikaliwa na wenyewe ambao walikuwa ni kabla la wamwera. Kabla ya ujio wa persia mnamo karne ya 9 tokea hapo wenyeji hawakuwahi kujitawala tena. Wakoloni walipishana mpaka miaka ya 1960 ambapo ukoloni ulianza kuondoka taratibu katika bala la Afrika...
Back
Top Bottom