Recent content by ANASTAZIA PANCRAS

  1. A

    JamiiForums Tanzania Wabunge 47 wajiunga mafunzo JKT ni kutoka CCM; CHADEMA na NCCR-MAGEUZI

    Ndio mmefanya vizuri maana wengi hamna uzalendo na nchi hii hivyo tunategemea mkitoka uko mtakuwa na uzalendo wa kutosha
  2. A

    JamiiForums Tanzania Clouds FM (Power Breakfast): Ni sahihi kabisa Bunge lisionyeshwe LIVE!

    Hawa ni vibaraka tu hawana jipya wanajikomba ili wapewe ukuu wa Wilaya kama watangazaji wengine walivyopewa mwaka jana.Nilikuwa naona wamaana sasa nitawashusha hadhi yenu.Kuwa kama Badra Hassan sio talkative au tuwapeleke ALA ZA ROHO kwa Diva nini muongee mapenzi.
Back
Top Bottom