Alafu kam ushajua kwa nchi nyingi zin wasomi hawaja ajirw kaa ukujua muundo wa uongozi w serikali haubebi wananchi wote wajiriwe. Sas kumbe ajir ni maisha hayo unayotafuta kula siku kuw bora MTU mpambaj, biashar n.k SAS elimu ndo unatumia ivo
Rushwa na wizi wa fedha utaongezeka kwasabu muajiriwa at a force maisha ili afanikiwe kabla ya miaka 10 afu pia ufanisi wa kazi utapungua mana lengo LA serikali halitatimia ndo mana hamna professor kijana wale wanaujuzi San hata wazungu pia wazee ni hazina ya teknolijia
Dunia nzima lazima uanze na theory ndipo uende practical watanzania mbona mnaharaka na mnataka kuruka stage elimu y Tanzania ipo vizuri sana mi nimemaliza chuo mzumbe wiki hii na sina ajira lkin elimu nlipata ni ni theory sasa practical ndio maisha y mtaani na Mimi kujiajiri mtani hukuhuku. Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.