Recent content by Amykil

  1. A

    Lowassa atakatiwa rufaa kwa kuanza kampeni mapema, atakatwa tena

    Makufuli si amesha ahidi laptop. Aka?
  2. A

    Makongoro Nyerere, urais hautafutwi kirahisi hivyo! Watanzania muwe macho!

    mbona Arusha tunamfahamu kama mnywa gongo huyu. Atuongoze tena! ndoto ya mchana hiyo. CCM wasithubuti kumpitisha chapombe huyo
  3. A

    Msajili wa Vyama vya Siasa: Nitavifuta CHADEMA na CUF

    Utavifuta! Msubiri Lissu na timu yake akupe madongo ya kikatiba na sheria.
  4. A

    DR. W. Slaa: A sensational keynote Speech at Purdue University, Indiana State, USA

    Are you kidding or have you just recently started reading the papers and blogs! Because you don't know doesn't make what you don't agree with untrue.
  5. A

    Uzalendo Wa Zitto Wathibitika: Kugoma Kupokea Pesa ya Kiinua Mgongo cha Mbunge!

    kijana huyu amesha piga pesa nyingi sana kupitia tiss. Au ume sahau
  6. A

    Bunge la jioni kutakuwa na sehemu ambapo TBC1 watakata mawasiliano

    Nimepata tetesi kua wakati wa bunge la jioni kutakua na sehemu ambapo TBC watakata feed pale watakapo ona wanashindwa kwa hoja na kusingizia "tatizo la kiufundi". Ni kwa niaba ya Watanzania wote makini wanaofwatilia mstakabali wa nchi yetu, niwaombe nyie kama Startv muonyesho jioni hii, bunge...
  7. A

    Bungeni Leo - Aprili 1, 2015: Bunge laahirishwa ghafla, Muswada wa Vyombo vya Habari kusomwa!

    Nimepata tetesi kua wakati wa bunge la jioni kutakua na sehemu ambapo TBC watakata feed pale watakapo ona wanashindwa kwa hoja na kusingizia "tatizo la kiufundi". Ni kwa niaba ya Watanzania wote makini wanaofwatilia mstakabali wa nchi yetu, niwaombe nyie kama Startv muonyesho jioni hii, bunge...
  8. A

    Mkakati wa 'kuua' Red Brigade, huku Green Guard wakitamba huu hapa...

    Yes, two wrongs don't make a right. But in this case they do. When you are concerned with bringing a better life for the masses you need an even playing field to stand a chance at winning and taking control of governing. To be specific, if your enemy comes at you with a gun you need a...
  9. A

    Picha: Zitto Achaguliwa kwa Kishindo kuiongoza ACT-Wazalendo

    Umenena mkuu. Mbowe alivyokua anasema zitto anatengeneza chama ndani ya chama alifikiri anataka kupindua chama. Kumbe jamaa alikua anaunda ACT. ila badala ya kuweka act kwenye muhtasari akaweka chadema. jaaa mshenzi kweli. Yaani unaunda chama ndani ya chama halafu unaenda kua ayatola huko. huyu...
  10. A

    Gwajima

    ungekua sawa kama kesi alizounganishiwa ni za kumkashifu au kudhalilisha mtu meingine. lakini kesi ya mali ni beyond the scope wataalam wanasema
  11. A

    Watu 15 mbaroni kwa njama za Kutaka kumtorosha Mchungaji Gwajima

    habari ya kupikwa hii. Ina maana kwa kumdhalilisha mtu utake kutoroka nchi. Na tena akijua kwamba alikua anamkemea mwenzake! haiingii akilini, labda kama kova na Pinda wamehusika
  12. A

    Watu walioenda kwa Lowassa waanza kugeukana

    season 2 itanoga zaidi maana itakua baada ya kukosa urais.
  13. A

    Polisi yavamia ofisi za CUF, yakamata viongozi tisa

    actually polisi ni mbulula tu. evidence iko mikoa karibia yote. ni wapi RPC anasema hana taarifa ya viongozi wa chama kukamatwa?
Back
Top Bottom