Recent content by amudamud

  1. amudamud

    JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya biashara ya bodaboda na duka la viatu vya kiume?

    Itagharimu 3.5m mpaka inakaa barabarani Mkataba miezi 12 marejesho 12000 kwa siku
  2. amudamud

    JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya biashara ya bodaboda na duka la viatu vya kiume?

    Gharama ya boda 3.3m
  3. amudamud

    JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya biashara ya bodaboda na duka la viatu vya kiume?

    Ni ya kwangu sio ya mkataba japo nahitaji nimkabidhi mtu awe anafanya marejesho kwa muda husika then baada ya kumaliza marejesho iwe yake
  4. amudamud

    JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya biashara ya bodaboda na duka la viatu vya kiume?

    Wakubwa naomba kupata ushauri kati ya kununua pikipiki ya kufanyia boda na kufungua duka la viatu vya kiume kwa ukanda wa dar kipi bora zaidi
  5. amudamud

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata ufafanuzi kuhusu biashara ya vifaa vya electronics

    Habari ndugu zanguni, naomba kwa wenye experience juu ya biashara ya vifaa vya kielektronikI nisaidieni kujua kuhusu management yake na hata changamoto zake pia .
Back
Top Bottom