Recent content by Amri_daudi

  1. A

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Sasa Mkuu, Hapa kuna vigezo ulivyovionesha kuwa kati ya hivyo ndoa inaweza kuvunjwa kisheria. Vipi kama kati ya wanandoa mmoja ana maambukizi ya VVU na mwingine hana. Haitoshei kuvunja ndoa? Au na yeye analazimika kuvumilia mpaka kufa???
  2. A

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Kuna jambo moja ambalo si wengi tungependa kulizungumzia. Lakini ninomba kuligusia hapa kwa wana jamii. Je ndoa inaweza kuwa batili iwapo mmoja kati ya wana ndoa ni muathirika wa VVU? Nikimaanisha ubatili kikanisa na kiserikali.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Ndugu yangu nashukuru kwa kuniweka wazi namna hii. Nina shida ya namna hiyo na nitajitahidi kuwa mvumilivu wa kufuatilia kwa karibu nijue hatima yake. Je baada ya kubatilishwa unaruhusiwa kusimama tena kanisani kufunga ndoa nyingine ya kikatoliki???
Back
Top Bottom