Recent content by AMRANI NURUDINI SAMWAJA

  1. AMRANI NURUDINI SAMWAJA

    Sayansi na maajabu ya samaki Pweza

    Pw Pweza Yuko katika kundi la mollusc
  2. AMRANI NURUDINI SAMWAJA

    Sayansi na maajabu ya samaki Pweza

    Huwa hawaishi sana muda mrefu 1 Year akiishi sana anafika 2 year
  3. AMRANI NURUDINI SAMWAJA

    Sayansi na maajabu ya samaki Pweza

    Baada ya watoto kuanguliwa Huwa watoto wanaanza kula planktons ( wadudu wadogo wa baharini) kwakutumia tentacles ( vinundu) vilivyopo kwenye mikono Yao 8 kukua pia wanajilinda kwa kubadili rangi na kumwaga wino ili kuwapoteza maadui ili wasiliwe
  4. AMRANI NURUDINI SAMWAJA

    Sayansi na maajabu ya samaki Pweza

    Pweza ni samaki Kuna species nyingi sana za samaki
  5. AMRANI NURUDINI SAMWAJA

    Sayansi na maajabu ya samaki Pweza

    Kila mnyama ameumbiwa mode of reproduction yake kwahiyo usisinguzie Muumba
  6. AMRANI NURUDINI SAMWAJA

    Sayansi na maajabu ya samaki Pweza

    Samaki pia Wana namna ya kufanya mating( uchumba) Wana style tofauti kutokana na jamii ya samaki ila kwa pweza wao hawana wivu wa kimapenzi ndio maana nimeeleza kwamba jike Moja anaweza kutoka na madume zaidi ya 10 ila samaki wengine jike anachagua dume la kuzaa naye pia Kuna madume hupigana kwa...
  7. AMRANI NURUDINI SAMWAJA

    Sayansi na maajabu ya samaki Pweza

    Pia Kuna samaki Moja anaitwa salmon Huwa anaishi baharini ila anaenda kuzalia maji baridi ,hawa samaki hupatikana bahari ya pacific na baada ya kuzaliana wanakufa ntakuja na stori yake Kazi ya moyo Moja ni kusukuma damu kwenda sehemu mbalimbali za mwili ila ile yote miwili husukuma damu kupitia...
  8. AMRANI NURUDINI SAMWAJA

    Sayansi na maajabu ya samaki Pweza

    Pia Kuna samaki Moja anaitwa salmon Huwa anaishi baharini ila anaenda kuzalia maji baridi ,hawa samaki hupatikana bahari ya pacific na baada ya kuzaliana wanakufa ntakuja na stori yake kamili
  9. AMRANI NURUDINI SAMWAJA

    SoC02 Kwanini vijana wa Tanzania wenye ndoto za kupata fursa za kiuchumi, elimu, kujitolea katika nchi za Umoja wa Mataifa huishia kutapeliwa

    KWANINI VIJANA WA TANZANIA WENYE NDOTO ZA KUPATA FURSA ZA AJIRA,ELIMU,KUJITOLEA KATIKA NCHIZA ZA UMOJA WA MATAIFA( NCHI ZA NJE) HUISHIA KUTAPELIWA,KUPATA VYUO VYA UCHOCHORONI AU KUKOSA NAFASI KABISA? Tanzania ina vijana wasomi Tena wengi sana kutokana na wimbi la kukosekana ajira wanajikuta...
  10. AMRANI NURUDINI SAMWAJA

    Sayansi na maajabu ya samaki Pweza

    Samaki pweza ni samaki anayeishi baharini Pweza ana mioyo 3 (3 heart) Moyo moja husukuma damu kwenda sehemu mbalimbali za mwili.Mioyo 2 husukuma damu kupitia matamvua yake(gills) Pweza ana damu rangi ya bluu kwasababu ana “copper-based protein” Pweza ni miongoni mwa-samaki mwenye akili Zaidi...
  11. AMRANI NURUDINI SAMWAJA

    SoC01 Upataji fursa, ajira kwa haraka kwa matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii

    Namna nzuri ya kuitumia mitandao ya kijamii kupambana na soko la ajira pia kufumania fursa mbalimbali kutokana na uhitaji wako. Vijana waliohitimu vyuo vikuu wanalalamika hakuna ajira hii makala itasaidia vijana ambao bado wako vyuo na waliomaliza pia wakulima, wafanya biashara nk. Kwa...
Back
Top Bottom