Recent content by ampojoter4

  1. A

    House4Sale Pagale linauzwa Msumi

    Msumi ipo wilaya ya Ubungo Dar karibu na Mbezi Makabe
  2. A

    House4Sale Pagale linauzwa Msumi

    Msumi ipo wilaya ya Ubungo Dar karibu na Mbezi Makabe
  3. A

    House4Sale Pagale linauzwa Msumi

    Hii post Mbona mm sijaweka bei mzee! Nimesema bei maelewano au Kuna mtu amenihack?
  4. A

    House4Sale Pagale linauzwa Msumi

    Pagale ya vyumba vitatu, kimoja master, jiko, public toilet, dinning, sitting na store. Kiwanja ni 27*18 bei ni maelewano, Nyumba ipo Msomi! Boda 1000 kutoka Msumi center! Kama upo interested nitafute 0782100086
  5. A

    Mwenye uzoefu na biashara ya Mashine ya kusaga mahindi naomba msaada wa mawazo

    Mwenye ufaham tusaidie budget yake namaanisha bei ya vinu na mota
  6. A

    Online Tv

    Kiukweli hii imejotosheleza sana na imekuwaya msaada mkubwa kwangu
  7. A

    Online Tv

    Nipo Dar, asante sana
  8. A

    Online Tv

    Ndo napanga mzee
  9. A

    Online Tv

    Wadau naomba kufaham japo kwa uchache kuhusu uanzishwaji wa online tv ambayo labda kwa kuanzia itafanya kazi Dar es salaam tu! Nifaham kuhusu vibali vya TCRA, gharama za camera, mic na nyenzo nyingne! Asanteni
  10. A

    Zitto na vijana wako acheni kuwananga CHADEMA kisa tu kufungua ofisi ya makao makuu

    Jamaa basi utakuwa mgeni kwenye Siasa, Ebu google huko Mbowe akipokea hundi kutoka kwa Sabodo kama hautomuona,unataka ushahidi gani hapo? Halafu labda kama hujui aliwapa na kiwanja akawaona wanazingua akakichukua mwenyewe. Ogopa Mungu na Teknolojia ndugu...
  11. A

    Zitto na vijana wako acheni kuwananga CHADEMA kisa tu kufungua ofisi ya makao makuu

    Sawa lkn Chadema pia mlishawahi kupewa fungu na Sabodo zilienda wapi? Na alisema anatoa kwa ajili ya ofisi, ndo tunaanza kuwapima mkipewa dola nyie mtaheshimu budget kweli kama ile kidogo mlishindwa? Mambo yenye TIJA yepi nyie ambayo mpo nayo serious? Kuomba kufanya mikutano ndo mambo serious?
  12. A

    Zitto na vijana wako acheni kuwananga CHADEMA kisa tu kufungua ofisi ya makao makuu

    Sijui nini kilitokea kwa Chadema nakumbuka kuna mwaka waliwahi kupewa ela za kujenga ofisi na Sabodo, sijui ziliishia wapi? Kama taasisi kuwa na ofisi ya kueleweka inajenga kauaminifu flan pamoja na ukweli kuwa mnafanya vizuri kwenye harakati lkn ofisi muhimu. Na ni jambo zuri kujifunza kutoka...
Back
Top Bottom