Asante sn mkuu. Hii ya alarm nmeifanya sana. Unaweza enda muamsha unakuta ashakojoa. Au naweza mwamsha akakojoa chooni lkn akirudi kulala baada ya muda anakojoa tena. Mpk nmepeleka kwenye maombi jamani
Habari wakuu,
Nina mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 12 sasa anaingia class 7. Anakojoa kitandani kila siku. Kwa mwezi anaweza asikojoe mara moja au mbili tu. Lakini siku zote hizo anakojoa sana.
Katumia dawa za kienyeji, za kimasai pia lakini imeshindikana. Nikampeleka hospital kuna vidonge...
pole sn mnasihi mwenzangu. Mimi pia nilikuwa mwl. Nikaenda kusomea unasihi Tumaini Irnga. Niliporudi kazini hawakunielewa kabisa cha zaidi nkafutiwa na mshahara kbs. Ivi ninavyokwambia niliichukia kazi ya ualimu na mfumo mzima wa utumishi serikalini. Maana majibu walokuwa wananipa ni kwamba...
UVCCM ndio kabisaa hata siwaelewagi. Kazi zao kushabikia tuu hata km kitu hakina mantiki au tija kwa taifa. Wao wanaona ni sawat tuuu.. wananchi wanaonekana wanataka nn.. wakuu wa nchi wanatumia mabavu, UVCCM kutetea matumbo yao wanasapoti wazee wao.
Tatizo wanajifanya Tanzania ni yao peke yao na familia zao. Tanzania ni ya watanzania wote. Ubinafsi umewajaa mpk kwa watoto wao. Wampe baba wa watu ushindi wake kavumilia saaana.
Huyu mama ananipa raha sana. Aninifundisha kitu km mtoto wa kike. Kila nkimuona nasikia kulia kwa furaha. Hata km mtu hamtaki Lowasa nahisi anaweza mpa kura kwa juhudi za huyu mama. Zidi kubarikiwa mama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.