Natarajia kufanya mtihani wa acsee 2016, kama mtahiniwa wa
kujitegemea; je , naweza kusoma masomo matatu ambayo hayapo kwenye mpangilio wa tahasusi (combination subjects) bila kuathiri matokeo?
Nataka kusoma geography, a/ mathematics na biology.
mkuu kuhsu sifa lbda kama zimebadilika,, lakini nina div.iii.23 form iv 2003.
Nina credit(c) nne za bios,english,kiswahil na bible knowledge mengine yote d
Ndugu zangu naomba sana kwa aneyeelewa vizuri haya mambo anifahamishe. Nataka kufanya mtihani wa kidato cha sita. Nilimaliza form iv siku nyingi ila siku bahatika kuendelea.
Je naweza kusoma masomo matatu hata kama hayapo katika mpangilio wa kombi? kwa mfano biolgy, geography, mathematics...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.