Hapo ntapingana na ww kifupi na madogo sahv wanasoma sana na mazingira n mazur tofaut na zaman. Sasa hv miaka 3 tu mtoto anaanza chekechea miaka miwili akifka na anapikwa anaiva na walimu vipanga. Miaka 5 anaingia msingi huku wazaz wakiwa nyuma yake kumpa sapot kama tuition, mavaz, chakula, afya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.