Recent content by Amoury94

  1. A

    Baadhi ya mambo ya kufanya kuzuia kuumizwa na mahusiano

    Habari wadau natumai ni wazima, Rejea kichwa cha habari hapo juu, 1. Sio mahusiano yote huishia ndoa. Mahusiano mengine yapo kama somo kwako, mengine ni ya msimu na machache ndio hua ya kudumu. Kama mahusiano yako hayaendi kama unavyohitaji, usijiue, usijilaumu, wala usikate tamaa. Tambua...
  2. A

    Wanawake wote mkiwa kama huyu wote mtaolewa: Yeye kwake mwanaume ni malighafi

    Jamani.... Nikiwa safari kuelekea Nairobi nilifanikiwa kuonana na mama mmoja Mchaga aliyefanikiwa sana. Ana hoteli Arusha, Moshi na pia ana export kahawa. Nilijiuliza sana huyu mama amewezaje? Ikabidi nianze kumchimba. Aliponiambia wanaume ni Malighafi, nilishtuka sana. Nikaomba anidadavulie...
  3. A

    Kwanini wanaume waaminifu kwenye uhusiano huachwa?

    :):):):):):):):):):):):):)
  4. A

    Kwanini wanaume waaminifu kwenye uhusiano huachwa?

    halaf baadae mnaanza kulalamika kua na chit
  5. A

    Kijana epuka ndoa na wanawake wenye kazi hizi

    hawa watu inabidi waowane wenyewe kwa wenyewe tu hakuna namna
  6. A

    Kanuni Kumi '10' Muhimu za Kuwa Mke Mwema Katika Ndoa....Ikizishindwa Imekula Kwako

    UHALISI WA MAISHA: Maisha halisi ya mwanamke anayetarajia kuwa mke/ mke tayari hii ni kumaanisha kuwa wanawake mashujaa tunapaswa kuishi maisha ambayo yanatutambulisha kama mfano wa kuigwa ili tunapozungumza na kufundisha mabadiliko tuwe tunazungumza uhalisia wa maisha yetu ambao unajengwa na...
  7. A

    Kijana epuka ndoa na wanawake wenye kazi hizi

    Mwalimu : Wengi wenu mna dhana potofu kwamba ukioa mwalimu mpo in safe side. Hawa watu akili zao zimelala fofofo. Mtu anayeridhirika na ujira wa laki 3 kwa mwezi kwa kutoa sadaka siku zake 30 kwa mwezi ni wa kumuepuka. Hana changamoto mpya katika maisha. Akirudi kazini yuko exhausted kabisa...
  8. A

    Masundosundo (genital warts )

    TIBA YA UGONJWA WA KUOTA KINYAMA SEHEMU ZA SIRI NA SEHEMU MBALIMBALI ZA MWILI (GENITAL WARTS & SKIN) Habari rafiki, natumaini mnaendelea vizuri leo napenda kuzungumzia tatizo la kutokewa vinyama katika sehemu za siri na mwili au Masundosundo au vigwaru kwa kitaalamu tunauita GENITAL WARTS...
  9. A

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    HABARI NJEMA UGONJWA WA BAWASIRI UNAOWATESA WENGI SASA UMEPATA TIBA YA UHAKIKA ~watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA (HEMORRHOIDS) ~ni ugonjwa...
  10. A

    CONSTIPATION {UKOSEF WA CHOO KWA MUDA MREFU)

    UGONJWA WA KUKOSA CHOO KWA MUDA MREFU {CONSTIPATION} Ugonjwaa huu kitaalam tunaita constipation mtu hukosa choo siku tatu au mpaka wiki nzima na akipata basi ni kidogo sana na kikavu mpaka anakua akiskia maumivu CHANZO CHA TATIZO HILI LA KUTOPATA CHOO ~tatizo hili husababishwa zaidi na...
  11. A

    Kwanini wanaume waaminifu kwenye uhusiano huachwa?

    ndio wanapenda suprise lakin uaminifu ni bora zaid kuliko hayo ma suprise
  12. A

    Kwanini wanaume waaminifu kwenye uhusiano huachwa?

    Kuachwa na mpenzi kwa sababu umekuwa ni muaminifu sana yaonekane ni jambo lisiloingia akilini lakini linatokea. Moja ya mambo ya ajabu unayoweza kuwa ushawahi kuyasikia ni kwamba mara nyingine uamuzi wako wa kuwa mwanaume mwema sana na unayejitahidi kufanya uhusiano wako wa kimapenzi uwe mzuri...
  13. A

    Know this Treatment for heart Disease

    What are blood thinners? Blood thinners prevent blood clots, which can stop blood flow to the heart. Learn about how they work, who should take them, side effects, and natural remedies. Blood thinners are medications taken orally or intravenously (through a vein) to prevent a blood clot. Blood...
Back
Top Bottom