Recent content by Amour_9

  1. Amour_9

    JamiiForums Tanzania Nauza iPhone 12 plain 128gb,charger,earpods na cover

    Mim ninayo iphone 8 plain nahitaji 350,000 niko dsm contact 0656970469
  2. Amour_9

    JamiiForums Tanzania Nauza iPhone 8 Plain

    Nauza iphone 8 used, iko kwenye hali nzuri haina tatizo lolote - 64gb memory Bei 350,000 tzs Location-mbagala mission 0656970469
  3. Amour_9

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Direct Sales Agents NBC upoje?

    Naomba kujua hizi kazi unapangiwa kituo maalum au unazunguka mitaani,,,(kwa upande wa benki)
  4. Amour_9

    JamiiForums Tanzania Connection ya kazi

    Kama kichwa kinavyojieleza mwenye connection ya kazi za kuchomelea tuchekiane jamani, kitaa kinatuadabisha. Naishi Dar es salaam. CV yangu hiyo hapo
Back
Top Bottom