Recent content by Amour91

  1. A

    Tahadhari kwa UKAWA

    Katika kipindi hiki cha uchaguzi tumeshuhudia nguvu kubwa ya CCM ikiyumba na kuifanya UKAWA kupiga hatua kubwa mbele. Mambo haya tumeyashuhudia tangu pale mara baada ya Mh.Lowassa kujiunga na UKAWA na kupewa dhamana ya kugombea urais kupitia CHADEMA na kuungwa mkono na umoja wa vyama...
  2. A

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Mtanzania kuwa na imani kuwa kwa wakati huu hatutoibiwa kura kwani kuna mikakati kabambe imefanyika,cha muhimu ni mimi na wewe kuamua kuutoa mfumo tawala minguvu na usio.na haki na wa ukandamizaji na unyanyasaji.binafsi niliipenda saana ccm lkn kwa mifumo yao ya uongozi nmetokea kuichukia na...
  3. A

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Napenda kutumia nafasi hii kuwaweka sawa wananchi na wapenda mabadiliko juu ya swala la Lipumba ,Kitu kilichofanyika ni kuwa kajiuzulu uenyekiti ili agombee ubunge mimi ndivyo niwazavyo kwani kikatiba cuf mwenyekiti anagombea urais pekee na si ubunge ,hivyo tusisahau kuwa kikatiba UKAWA waziri...
  4. A

    Rungu langu kuipiga CCM 2015

    Furaha na amani ya nchi yangu ,maendeleo yangu na wanangu na familia yangu ni juu ya kura yangu ambayo itaenda si kwa utawala ule ulioikandamiza matakwa na mahitaji ya nchi yangu. Hakika huwezi kumulika tochi katika giza la waovu na wezi na ukamuona mtakatifu mmoja na ni ngumu pia kuweza...
  5. A

    GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha kwa kila mtanzania na mwenye kupenda maendeleo ni jinsi ambavyo mambo yanaendelea ndani ya chama chetu tawala.Twakipenda chama chetu tawala na twampenda mh.Lowasa kutuongoza wananchi katika kipindi hiki.Hakika twaamini mh.Lowasa ndiye ataibuka kinara...
  6. A

  7. A

    Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    tukio la uzinduzi lilikuwa likiendelea na ilikuwa hivi.Hakika ni siku ambayo ilikuwa yenye furaha na ya ushindi mahali hapa na hata kuwaonyesha wale wasiyo na imani.Atukuzwe Bwana kwa matendo yake na ukuu wake kwa kila matendo ambayo ameyafanya,AMEN
  8. A

    Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    pia katika uzinduzi huo walikuwepo maaskofu na manabii wa makanisa mbalimbali
  9. A

    Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    Asubuhi, mchana Mungu yu mweeemaaaa .............. nahisi ndo ninachokisikia kwenye background yangu.
  10. A

    Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    mbona dini yako haijakulipa? Yesu ndie analipa
  11. A

    Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    yani bwana kweli hakuna kitu kipya chini ya jua. Haya ni maneno ni kama vile nawasikia wale mafarisayo walivyokuwa wanalalamika yule mwanamke kahaba alivyompaka Yesu marhamu ya gharama miguuni. Kipindi kileee.. "Bora marhamu ingeuzwa, fedha wakapewa maskini" leooo....."mimi ningewaona wa maana...
  12. A

    Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    kweli ka kawaida ibanezafrica? we unavyo vingapi kwa mfano? au babako anako hata kamoja?
  13. A

    Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    hivi baba anaweza sita kupokea sifa kutoka kwa mwanae hata kama ni kwa ajili ya pipi? Nakumbuka utotoni mama alikuwa akinikumbusha kushukuru hata kwa vitu vidogo sana japo katika akili yangu ya utoto nilijua alikuwa na uwezo wa kunipa kikubwa ama kizuri zaidi; nilijua kuwa ntapata kizuri zaidi...
Back
Top Bottom