Recent content by Amour

  1. A

    Washikaji yamenikuta...

    Issue hiyo mbona simpo sana??? Sidhani kama unahitaji kuomba ushauri. Piga chini hakuna mapenzi hapo mzee ni WIZI MTUPU!!
  2. A

    Crazy things you did in secondary school

    Rum six mido pale Soweto (Ujamaa) palikuwa si pakwenda kwa wale nyoya (wenye baa nyekundu moja begani - fomu wani!!) wadau nadhani mtakuwa mnakumbuka kwamba Ujamaa ni bweni lililokuwa likiongoza kwa kutrotisha (kuwasumbua) fom nyonya miaka yote! Ikiwa pamoja na kumwagiwa bichi (maji machafu)...
Back
Top Bottom