Dawa yao kuwaongoza watu vizur na kuwaonyesha raslimali za nchi hii zinavyoweza kutumika vizur katika kuhudumia sekta ya elimu na afya. Pia kuwadhihirishia mafisadi kuwa keki ya Taifa hili haiko kwa ajili yao peke yao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.