Recent content by AMOS PHILMON

  1. A

    Taratibu za Mahakama

    MSAADA. 1.Mlalamikaji mmoja anaweza fungua kesi moja kwenye Mahakama mbili tofauti tofauti akimlalamikia mtu yuleyule na kwa kosa lilelile? 2.Ukitaka kuandika barua ya kuomba kubadilishiwa Hakimu wa kesi yako ambyo iko Mahakama ya Mwanzo yenye Hakimu mmoja barua hiyo unamwandikia nani?
Back
Top Bottom