1:LCD WRITING TABLETS
Hizi Kwaajili ya watoto zinapatikana !! !! !
8.5 inches 10,000
10 inches 13,000
12 inches 16,000
[emoji3504]Hizi ni nzuri sana kwa watoto wanaojifunza kuandika na kuchora inamchangamsha mtoto akili yake.
[emoji3504]inakuza uwezo wa mtoto kuandika hazitumii umeme kama...
Pharmacy iliyopo maeneo ya Sinza inatafuta mfanyakazi ngazi ya Technician assistant au ADDO.
Kwa mwenye uhitaji:
Mawasiliano: call or whatsup +255 746 073 080
Mimi ni mmiliki wa pharmacy iliyoko maeneo ya sinza Daresalaam. Nina nafasi 2 za kazi.
1:ADDO -wa dispensing
-awe na leseni toka Pharmacy council
2:Pharmacist(degree holder)kwaajili ya usimamizi wa Pharmacy
-Awe ana leseni ya usimamizi toka Pharmacy council
-Awe ndani ya Daresalaam.
Send ur...
Habari za wakati huu ndugu zangu,
Mimi ni mmiliki wa Pharmacy iliyopo maeneo ya sinza Dareesalam ,nilikuwa natafuta mfamasia kwaajili ya usimamizi wa Pharmacy hiyo.
Kwa mawasiliano nicheki
Whatsup no:0762619116
Habari za wakati huu ndugu zangu,
Mimi ni mmiliki wa Pharmacy iliyopo maeneo ya sinza Dareesalam ,nilikuwa natafuta mfamasia kwaajili ya usimamizi wa Pharmacy hiyo.
Kwa mawasiliano nicheki
Whatsup no:0762619116
Habari za wakati huu Ndugu zangu.
Kuna nafasi moja ya kazi ya kuuza Pharmacy maeneo ya Sinza Daresalaam.
Vigezo:
1:Awe na diploma ya Pharmacy (technician )
2:Awe na leseni toka Pharmacy council
3:Awe na uzoefu wa kuuza Pharmacy
4:Awe na utayari wa kufanya kazi muda wowote
5:Awe na jinsia ya...
Habari za muda huyu ndugu zangu.Mimi ni mmiliki wa Pharmacy iliyopo Dar.Nilikuwa nahitaji mfanyakazi mwenye vigezo vifuatavyo:
-Awe ana cheti cha full technician level 6(ordinary diploma)
-Awe ana kibali toka Pharmacy council cha kufanya kazi .
-Awe ana uzoefu wa kufanya kazi (community...
Habari ndugu zangu. Mimi ni mmiliki wa pharmacy ktk jiji la Dar nilikuwa natafuta mfanyakazi wa pharmacy.
Vigezo:
- Awe na elimu ngazi ya certificate time
- Awe mkazi wa Dar
- Awe na uzoefu wa kazi
Nb: atume CV zake kupitia amospingpang@gmail.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.