Unene unazidi kuwa tishio kwa afya ya binadamu. Unene unaharibu umbo (shape) la mwili na pia ni kichocheo cha maradhi kama vile kisukari, shinikizo la juu la damu, matatizo ya uzazi, saratani nk. Utafiti unadai kuwa katika watu 10, watu 3 wana uzito uliopitiliza.
Je, wewe ni miongoni mwa watu...