Ili ufanikiwe lazma ufanye biashara sasa ww chenga uende kwny ulinzi wako utakuja kujiajir ukiwa na mguu mmoja ndio utaona moto wake c unataka sifa nenda kawe kibaraka wa wanasiasa kuna vyuo vingi sana unasoma mda mfupi tu kwa mfano machine za migodini utakuja kuishi vzr tu ww unawaza kwnda...
Tulisha pambana Sana hapa Juz Tu nilikuwa na kanpun moja IV mjn apa nimeachishwa nssf nayo haijulikani Ni muda gn under carpet mwaka mama then unasema mihemuko !!!
Jaman mm hapo npo Tu nimelala kila nikiamka asbh na nashika passport yng mkononi nasali Mungu anitoe nchi hii am tired at the maximum hata nikisikia Kuna kaz nyuma ya nyumba ctaki kabsa coz kaz tembo mshahara sungura.plz yeyote mwnye kujua namna ya kuondoka anisaidie .nimesikia hbr za Malta cjui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.