Binafsi nadhani hakuna kiasi mtu akilipwa atalidhika.
Ndugu, kama una passion na kazi kuliko kuwa jobless nenda kafanye kazi.
People they work and they success in Life.
Usikatishwe tamaa
Ushauri mzuri, Asante sana, japo kujiajili napo ni mchakato unao hitaji capital, business strategy like location na Targeted Customer,vyote vyahitaji pesa na kwa hali yetu kwa sasa HATUNA. Tukipata TUTAJIAJILI.
Pia Kazi Zipo Ukitafuta kwa Bidii ukikosa Full time, utapata internship au part time...
Habari wana jamvi!
Napenda kushare japo kwa ufupi story yangu naimani itatufunza na kupata Ushauri ambao hata mimi nitajifunza.
Nikiwa nina miaka 6 baba yangu alikuwa mwajiliwa wa taasisi moja na yeye mara kamoja moja sana tulikuwa tunaenda wote BANK(NMB) kutoa pesa kidogo kilicho kuwepo kwa...
Kwakuwa cm ni unboxed nimeweka picha moja ya google mtu aone upana na urefu wake.
Ila kwa nje nimeweka tayari picha kwakuwa unataka niongeze haya hiyo hapo
Tulio wasiliana wameelewa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.