Recent content by amock

  1. amock

    KIWANJA KINAUZWA KIVULE

    Nicheki tutayajenga mkuu
  2. amock

    Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    Naomba namba yako mkuu, unipe full A B C za huko kabla sijavaa silaha za kazi
  3. amock

    SOLD: Kiwanja kinauzwa Kivule

    25 million, sqm 1600 Maongezi yapo... Karibu
  4. amock

    Bei ya mahindi Handeni zinashangaza

    Gwallo habari, hapo kilindi mashamba yanakodishwa bei gani mkuu
  5. amock

    Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    Hongera sana mkuu kwa inspired story ya hustling, hakika nimejifunza vitu kadhaa toka kwako mwamba.! Unafaa kutengeneza story in series hata kitabu mkuu juu ya safari ya maisha yako.! Hongera sana kwa uthubutu karibu arusha na manyara tulime maharage na ngwara..
  6. amock

    Natafuta kiwanja Kivule mpaka Msongola. Bajeti ni milioni 5 na kisipungue sqm 300

    Nicheki kuna kiwanja changu hapo Kivule jirani na kerezange sekondari kina sqm 1600 means meter 40 X40M, bei iko Safi kabisa nicheki inbox
  7. amock

    KIWANJA KINAUZWA KIVULE

    SOLD...! KIWANJA KINAUZWA MAENEO YA KIVULE KARIBU NA SHULE YA SEKONDARI KEREZANGE SIZE : 40 METERS X 40M SOLD SOLD OUT.... 🙏
  8. amock

    SOLD: Kiwanja kinauzwa Kivule

    SOLD OUT....! KIWANJA KINAUZWA MAENEO YA KIVULE KARIBU NA SHULE YA SEKONDARI KEREZANGE SIZE : 40 METERS X 40 METERS PRICE : 25 MILLIONS CONTACT : 0712 36 33 58. ALL SERVICES AVAILABLE HAKUNA DALALI
  9. amock

    Madini ya Carrot stone & sunstone

    Habari wadau, Nina madini ya rangi ya carrot (carrot stone) *na Sunstone nahitaji kujua soko lake linapatikana wapi na kwa kiwango gani. Nipo matale- Gilai Check inbox E-mail :eclicken@gmail.com Asante Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
  10. amock

    Uliza ujibiwe kuhusu madini, gesi na mafuta

    Ruby naomba tuwasiliane please, nina jambo langu la gypsum kule kilwa. Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
  11. amock

    Biashara ya kuchimba mawe ya gypsum

    Ruby naomba tuwasiliane, nina jambo langu la gypsum kilwa. Nicheki 0712363358 Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
  12. amock

    Biashara ya kuchimba mawe ya gypsum

    Ruby naomba tuwasiliane, nina jambo langu la gypsum hapo kilwa. Nicheki kwenye 0712363358 Asante Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
  13. amock

    Biashara ya kuchimba mawe ya gypsum

    Hello brown ulifanikiwa kupata data za kutosha juu ya biashara ya uwekezaji ktk Gypsum? Kama bado tuwasiliane. Nina vitalu makanya, bendera mkomazi na kilwa Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
  14. amock

    Wakala biashara ya mazao ya chakula na biashara ukanda wa nyanda za juu kusini. (Mbeya, Iringa, Songwe, Rukwa)

    Wazo chanya sana, changamoto ni kwenye umbali na security ya pesa.! Anyway nitakutafuta tuyajenge mkuu Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom