Recent content by Amnec

  1. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za ndani Dar es Salaam

    Nashkuru sana kwa maneno yako yakutia moyo ndugu yangu[emoji120][emoji120]
  2. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za ndani Dar es Salaam

    Ok haina shida
  3. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za ndani Dar es Salaam

    Lakin kumbuka ni mawazo yako ndugu sio kwamba ndo uhalisia wenyewe
  4. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za ndani Dar es Salaam

    Sio kazi za ndani tu hata nyingine.. na nimesema dar kwa sababu nina plan yakuja kufanya biashara mungu akisaidia mambo yakienda vizur mbelen kwan dar ni mkoa mzur kwa fursa ya biashara ndogo na hata kubwa
  5. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za ndani Dar es Salaam

    Pia hiyo nitaweza
  6. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za ndani Dar es Salaam

    Natumaini mu-wazima wa afya ndugu zangu wana jamii forum. Natafuta kazi za ndani (house girl) Dar es salaam. Ni msichana wa miaka 21 nipo Geita kwa sasa. Elimu yangu nimefika form four. Pia kaz nyingine kama kuuza duka nipo tayari
Back
Top Bottom