Recent content by Amlodipine500

  1. A

    Hivi hizi huwa ni vita vya kidini kusaka waumini au ni nini?

    Wasomi wa dini mnijuze, unakuta wapentecoste na wachungaji wao kuitwa kupondea roman Catholic Kuwa wanaabudu sanamu. Mara kusali rozali ni upagani marra anaetokea kama mama wa yesu Kuwa ni pepo malkia wa anga watu watoke huko lkn watu wakihamia huko ghafra baada ya muda wanakutana na utapeli...
  2. A

    PSRS interview questions (written, pract & oral)

    Ukikosa kwenye mfumo wa tamisemi unakuwa hujatumia gharama kama kwenye hizo za psrs unatumia nauli kutoka bukoba had dodoma unafikia lodge alafu hata kwenye oral hufiki
  3. A

    PSRS interview questions (written, pract & oral)

    Ajira watangaze tu jamani maana hizo Hbr za kusafiri na bado ukose Bora uombe kwenye mfumo alafu ukose
  4. A

    Mh nimeskia waziri mkuu Leo anawasemea waliopona uraibu wa madawa ya kulevya wapewe ajira..

    Majobless mpo!? Naona Kila siku mnalia tamisemi zitatangazwa lini ajira , maana vijana wanasubiri ajira Hadi wanapata stress wengine ni walevi na yawezekana hata wengine wataingia kwenye dimbwi la dawa za kulevya...huku Leo waziri mkuu ametoa Rai Kwa tamisemi kuwaajira waliopona uraibu, sasa...
  5. A

    Jamani majobless tunaosubiri ajira mmesikia huko waziri mkuu amewapa connection wanaopona uraibu wa dawa za kulevya

    Siasa hizi jamani! Waliopona uraibu wa madawa ya kulevya waziri mkuu ametoa hoja tamisemi huko wapewe ajira ...vipi inawatazama vipi vijana ambao wanaelekea kutumia hayo madawa sababu ya kukosa muelekeo wa maisha...kumbe wanasuburi waharibikiwe alafu ndo waje watoe ajira Kwa wagonjwa
  6. A

    Jamani wajuzi wa mambo mtujuze kuhusu Bajeti na Ajira

    Zanzibar nchi ndogo wanajitosheleza bado alafu kule udini mwingi
  7. A

    Jamani wajuzi wa mambo mtujuze kuhusu Bajeti na Ajira

    Naskia sijui watu wanacheza bahati nasibu kupata green card Mwanzo nlikua nadharau sana ila itabidi nijaribu bahati yangu
  8. A

    Tunapoelekea ajira itakuwa ndoto kupata kwa watoto wa maskini na kama huna connection

    K Isiwe Isiwe tu tamisemi hizo interview labda za polisi mkuu?
  9. A

    Tunapoelekea ajira itakuwa ndoto kupata kwa watoto wa maskini na kama huna connection

    Tatizo wanakurupuka kusema na ahadi Kuwa watatoa ikiwa hawajajipanga Yan siasa siasa tu , haya mwaka mpya wa fedha unaanza lkn si ajabu ikafika mwakani bado wasitangaze kwel alieshiba hawezi kumuelewa mwenye njaa
  10. A

    Tunapoelekea ajira itakuwa ndoto kupata kwa watoto wa maskini na kama huna connection

    Itakuwa wanasuburi siku moja kabla ya uchaguzi ndo wazitangaze zimekata kimkakati zaidi
Back
Top Bottom