Mie nilifnya siku ya 14 bao LA kwanza tulimaliza sa 6 usiku alimwaga nje la pili tulifanya asubuhi sa 12 alimwaga ndani je kuna uwezekano wa mimba kutunga?
Naomba kuuliza kwa mfano nimeingia tarh 21 nikafanya tendo tareh 14 nikapumzika then nikafanya tena tarh 16 halafu nikanasa mimba hiyo mimba itakua ya tar 14 au ya 16 na mzunguko wangu niwa siku 28
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.