Unatakiwa utibu kutoka ndani kwenye damu ni si kwa vitu vya kupaka.
Kula fresh vegitables kwa wingi na ukiweza kula nyanya mbichi kama mbili kila siku. Utashangaa baada ya muda ngozi yako itakuwa very smooth. Vile vile unywe maji mengi kama ulivyoshauriwa hapo juu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.