Recent content by Amini Deengw

  1. Amini Deengw

    JamiiForums Tanzania Maumivu makali ya mgongo (back pain) na tiba yake

    Jaribu kuangalia kama unyayo wako upo flat umenyooka au una space katikat manake watu wenye unyayo ulionyooka huwa wanapata tatizo la mgongo alafu pia wewe ni mrefu? Manake kwenye anatomy urefu unachangia angalia pia godoro unalolalia inawezekana halina quality na fanya mazoezi ila kama hutojali...
  2. Amini Deengw

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    iv jaman ukisha click sehem ya uhamisho ndo nafasi yako inachukuliwa kabla ya kupata kingine? au
  3. Amini Deengw

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    jaman vp kwa wanaoomba uhamisho ukikosa chuo kingine nafac yako itabaki pale ? au ndo ukisha click sehem ya uhamisho na nafasi inachukuliwa
  4. Amini Deengw

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    Jamani anayekifahamu chuo cha St Agrey cha Mbeya hasa ada yake anijuze kwa diploma ya clinical medicine
  5. Amini Deengw

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    mkoa wowote ule ilimradi kipo vizuri
  6. Amini Deengw

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Jaman chuo gn cha private nzur yenye nafac ambayo ada kidogo ni afadhal angalau 2.7 au 2.8 au kiwe day alafu ada ikapungua kwa diploma ya clinical medicine?
  7. Amini Deengw

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    dahhhh mi ndo npo 2 ata cna raha tena cjui lini itatoka jaman 2mwombe 2 Mungu wa toe ata kama kwenda chuo ni mwezi wa 11
  8. Amini Deengw

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    nami naomba nitumie iyo link 0763928907
  9. Amini Deengw

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    duhh hili nalo balaa sasa
  10. Amini Deengw

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    waliopelekwa advance hawachaguliwi? Nani kasema?
  11. Amini Deengw

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    2po mkuu ata mi nimechaguliwa f5 PGM ila nimegairi coz nahic pia huko hamna ninachokipenda thux y nacbri chuo cha afya
  12. Amini Deengw

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Ahhh bado tu ase awa nacte na wenyewe wana 2cheleweshea 2
  13. Amini Deengw

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    kwanini mkuu mbona unakata tamaa mapema
  14. Amini Deengw

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Mungu naomba yatoke na wote tufanikiwe kama 2livyoomba vyuo
Back
Top Bottom