Recent content by Amin2020

  1. A

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    kazi kweli kweli mpaka muhishimiwa rais ameamua kwenda kumpa tafu magufuli asee ni ngumu kumeza
  2. A

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Tusimlaumu Mkapa Kwa matusi anashidwa hata Kuwa Na familia inayo tambulika hawezi kuwa na maneno ya busara badala yake anatoa matusi atambue Kwamba huu wakati mwengine kila mtu anahaki ya Kuchagua chama apendacho
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Kikwete ya leo, Kuna kila dalili ya kuipeleka nchi vitani

    Jk wacha kupaniki hiii ni siasa mwaka huu kama unasema utaisoma mamba jiandae
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wazee wa CHADEMA wakutana na Dr. Slaa leo

    Huo ndio uzalendo dr
Back
Top Bottom