Recent content by amin lazaro

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tuongelee kuhusu uwekezaji wa kwenye Hisa

    Kwanza naomba na mim kuungwa kwenye ilo group la WhatsApp pili naomba kuuliza umesema kununua share lazima nipitie kwa brokers vip kama kampun ime issue IPO siwez kwenda kununua direct bila kupitia kwa broker? Namba yangu ya watsap 0657664465. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. A

    JamiiForums Tanzania Usirogwe kufungua account DTB. Haifai. Serikali hawa jamaa wanawaibia mapato

    Jamaa nae mwizi tu kwasababu makubaliano wameingia yeye na mwajiri wake nae akakubali akala pesa miaka mitatu bila kuchangia serikali.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Usirogwe kufungua account DTB. Haifai. Serikali hawa jamaa wanawaibia mapato

    Jamaa ndo wale wale leo kaacha kazi ndo analiongelea ila kipindi chote icho alikua anashirikiana nao kutochangia pato la serikali leo katoka kwenye system na kutimiza malengo yake ndo anakuja kuongea aonekane mtu safi kumbe mwizi tu na yeye.
  4. A

    JamiiForums Tanzania kwa heshma kubwa

    habarini, waungwana me ni mgeni humu ndani hivyo naomba support yenu tushirikiane kwa kila jambo, asante!
Back
Top Bottom