Recent content by american cycle

  1. A

    JamiiForums Tanzania Jafo na tamisemi yake wanatumia vigezo gani kuajiri??

    Fact.....lkn kwa upande wa pili kinacholeta ukakasi ni kwamba kama application inafanyika online wanaweza VP kuwapima hawa watu maana hapo cha kwanza hakuna interview, so kinachofanya kazi ni vyeti kwahyo kama kigezo pekee kilichobaki ni cheti GPA itawekwaje pembeni??? Au wanakata mabogi tu kama...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Jafo na tamisemi yake wanatumia vigezo gani kuajiri??

    Ningekua sina ajira nadhani ningekufa na kihoro
  3. A

    JamiiForums Tanzania Jafo na tamisemi yake wanatumia vigezo gani kuajiri??

    Hawatabiliki hao
  4. A

    JamiiForums Tanzania Jafo na tamisemi yake wanatumia vigezo gani kuajiri??

    OTEAS haina utaratibu wa kutuma CV!
  5. A

    JamiiForums Tanzania Jafo na tamisemi yake wanatumia vigezo gani kuajiri??

    Kama vipi ivo nipe mkuu...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Jafo na tamisemi yake wanatumia vigezo gani kuajiri??

    Hapo umezungumza kwetu sisi hii hali itadhoofisha sana mchakato wa msuli vyuoni maana hakuna haja ya kupandisha GPA kwasababu hata gentlemen ina soko siku izi
  7. A

    JamiiForums Tanzania Jafo na tamisemi yake wanatumia vigezo gani kuajiri??

    Fikiria hat ww mwenyewe kama mdau wa elimu umepewa jukumu la kuajiri watu kwa kigezo cha vyeti ukapata mwenye 2.9 na wa 3.9 bila interview utamchukua yupi kati ya hao wawili???
  8. A

    JamiiForums Tanzania Jafo na tamisemi yake wanatumia vigezo gani kuajiri??

    Sawa mkuu ila nadhani wanachagua random tu hakuna uchambuzi hapo wala nn
  9. A

    JamiiForums Tanzania Jafo na tamisemi yake wanatumia vigezo gani kuajiri??

    Nashangaa sana nna wadogo zangu wawili wamesomea ualimu lakini cha ajabu kwenye zile application za miezi kadhaa ilopita mmoja kachaguliwa kua mwalimu pwani na akiwa na GPA ya 2.9 AF mwenye 3.8 kaachwa nabaki siamini kama kweli wanafanya upembuzi na uchambuzi sahili wa waalim hawa wanao jinasibu...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuhama kozi UDOM

    Upo coz na collage gani???
  11. A

    JamiiForums Tanzania UDOM TUMIENI USTAARABU KIDOGO

    Udom ya saa ivi so kama tuliyosoma zaman kuna jamaa angu anachukua masters pale anadai mambo yamechange sana....achana na historia nenda shule bwana mdogo
  12. A

    JamiiForums Tanzania waliopata BAED UDOM

    Inatokea kila mtu na bahati yake ....don't relay on somebody's fate
Back
Top Bottom