Recent content by Ame

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nchimbi vs Ndejembi: Kwenye international stage, nani anaiwakilisha Tanzania vizuri zaidi?

    Cheki huyo alivyo composed and calm...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nchimbi vs Ndejembi: Kwenye international stage, nani anaiwakilisha Tanzania vizuri zaidi?

    Kuna mmoja alikuwa kama anaimbisha kwaya...Wasaidizi wamfundishe public presentation hasa Kwa mtu wa cheo kama hicho unatakiwa uwe calm and composed. Sauti yake na mikono Ile ilionyesha ana uwoga na amekosa authority
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea kama Tundu Lissu akitiwa hatiani huku akishinda tuzo ya heshima ya Sakharov ya umoja wa Ulaya?

    Precedence inayokuwa set ni mbaya sana Kwa nchi hii. Kama yeye alivyosema, hao ma Judge wanaenda kutengeneza Sheria mpya ambayo haikuwepo na ambayo itatumika sana kuonea watanzania. What a tragedy! Lisu anaweza kunyingwa sawa, but what will we achieve as a country kama siyo laana Kwa vizazi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea kama Tundu Lissu akitiwa hatiani huku akishinda tuzo ya heshima ya Sakharov ya umoja wa Ulaya?

    Wewe binadamu unaroho ya kishetani!
  5. A

    JamiiForums Tanzania Maneno machache ya mkuu wa majeshi

    Ila huyu baba ana mihemko sana, sijui kwanini Chama chetu kimemweka hapo
  6. A

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Kuna ubaguzi wa kikabila, Utaifa na mpasuko wa kidini, Utanganyika, Uzanzibari

    Hata Sasa bado na yeye ni mbaguzi na mkabila.
  7. A

    JamiiForums Tanzania CCM Fahamuni kabisa: Kilichofanywa na Asha Rose Migiro ni uhaini na atakilipia

    Nauliza Zitto Kabwe alifutwa ubunge? Kina Halma Mdee walifutwa ubunge?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Bashiru: Nisingeteuliwa nilikuwa sina mpango wa kuomba kazi nyingine yoyote, niliridhika na kazi ya taaluma UDSM

    Huyu sura yake na makucha aliyatoa alipoteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama, akaanza kujiwekea msafara na ving'ora...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kuna mpasuko unafumwa kisayansi ndani ya CCM na wamefanikiwa kwa 100%. Rais amechelewa kusoma mchezo

    Dessert mission imefika 90% Hongereni wazalendo, mmeupiga mwingi!
  10. A

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya ndani

    Tukubali kujenga taifa letu, titavutaja mpaka lini? Tusianzishe tena sokomoko kama kutakuwa na assurance ya Katiba mpya kuanza mwaka huu
  11. A

    JamiiForums Tanzania Malema: CCM, na vyama vya ukombozi vinakufa kifo cha asili

    Sisi tutakilinda chama chetu Kwa wivu mkubwa
  12. A

    JamiiForums Tanzania Katambi alipoka majukumu ya baraza la usalama ya kutangaza hali ya hatari

    Sijui alikuwa anawaza Nini...Kamharibia hata Mama, kipindi ambacho ni very vulnerable yeye anachochea Kuni, pengine bado yupo upinzani ndiyo sababu anafanya haya
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kabla ya sasa hivi tulishwahi na Waziri wa Fedha Mzanzibari kwenye muungano?

    Acha udini, Kuna waislam kibao wanaongelea Tanganyika ambayo haipo
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kabla ya sasa hivi tulishwahi na Waziri wa Fedha Mzanzibari kwenye muungano?

    Sada Mkuya hakuwa Mzanzibar?
  15. A

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna changamoto mifumo ya Serikali kutosomana kikamilifu

    Unafahamu kwanini ilikuwa vile? Maana yake wao wooote wapo chini ya Kingdom Ile, hizo bendera za Kisiasa ni za huko huko kwao wakija kwenye Dola ya mfalme Ukifanya hivyo unapunguza heshima ya ule ufalme
Back
Top Bottom