Shukrani sana.
Hata Mimi nimeshangaa hii Ni JF ninayoijua au la! Professionalism imepungua Sana, mipasho mingi km X au Instagram. Hata hivyo kupitia wachache ambao walinielewa nimepata options kadhaa. Ubarikiwe
Si mbaya kuliko kupoteza muda mwingi kwa faida ndogo yaani kwa mwaka pamoja na makato 9M ukitoa makato Ni huzuni. Kuna mlumbi mmoja Katia idea fulani ngoja nicheki nae
Zipo, muda unaotumika kumtumikia gavoo na unaobaki kwa ajili yako binafsi compared na outcome kwenye hela Kuna haja ya kuona possible way kufikia hatua nyingine Ila ushauri nimeupokea
Nimepokea wazo hili.
Unaweza Nipa mwanga zaidi mathalani nimesoma Geography na Kiingereza masters ipi inaweza kuwa na market ambayo kwa msingi nilionao naweza pambana nayo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.