Recent content by Ambonisye Manandi

  1. Ambonisye Manandi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wanafunzi shule ya Sekondari Kyimo waambiwa kuchangia pesa za chakula, madawati na mwalimu wa kujitolea

    Kikao kimefanyika leo 23/1/2018 na kaazimia sh.10,000 mwl wa kujitolea shule nzima?? Na ,70,000 chakula na hili la kipolo 25000 dawat??? Jamani mkuu wa shule umeponzwa kwenye siasa tena kwani hujasikia agizo la RAIS????
  2. Ambonisye Manandi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wanafunzi shule ya Sekondari Kyimo waambiwa kuchangia pesa za chakula, madawati na mwalimu wa kujitolea

    Diwani wa kata ya Kyimo na mkuu wa shule ya Sekondari Kyimo wamefanya mkutano leo tarehe 23/01/2018 na wazazi wenye wanafunzi hapo shuleni wakilazimisha kuchangia TZS. 70,000/= kwa ajili ya chakula wakati wa muda wa masomo. Pia wametaka michango TZS 10,000/= kwa kila mwanafunzi kama malipo ya...
  3. Ambonisye Manandi

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Sugu: Mabishano makali yaibuka mahakamani juu ya ushahidi

    Tumechoka..yatupasa kufanya mabadiliko ccm co kitu inatupeleka kabulini
Back
Top Bottom