Recent content by Amboni

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini sitaki muungano uvunjike...

    Lakini nnavyojua mimi ukitaka kwenda Zanzibar unachukua Boat pale Posta au ndege (Kutokea Dar es salaam ). Usumbufu unaouzungumzia ni upi kati ya huu? 1:Usafiri Mbovu 2:Nauli kubwa 3:Au kama kuna usumbufu mwengine uweke wazi
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini sitaki muungano uvunjike...

    Ahmadi Rashid anaingiaje hapa ? Nimetoa sababu zangu tatu hapo juu ...jaribu kuzipa changamoto hizo sababu. nje ya hapo utakuwa unataka kuleta malumbano ya CHADEMA na CUF.
  3. A

  4. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini sitaki muungano uvunjike...

    Sasa ntasaidia vipi mapato ya nchi za wakwe zangu ?...mapato yote si yataingia katika serikali ya Tanzania ?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini sitaki muungano uvunjike...

    Naelewa kuwa unaweza kuoa mahali popote pale duniani-- Nisochotaka mimi ni ule usumbufu wa kulipia kibali cha kuishi nchini na mambo mengine kibao,nadhani umenielewa.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini sitaki muungano uvunjike...

    Habari wana JF ! Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu muungano hivi karibuni. wengine wanataka serekali moja,wengine wanataka serikali tatu na wengine wanataka uvunjwe kabisa. Binafsi sitaki muungano uvunjike kwa sababu zifuatazo: #1: Baba yangu ni Myeramba na Mama yangu ni Mpemba { Hii ni...
Back
Top Bottom