Recent content by ambia baba

  1. A

    JamiiForums SUMATRA na polisi mna ajenda gani na foleni za mjini?

    Kwa hapa mjini foleni imekuwa kama ni jambo la kawaida katika maisha. Lakn ukweli ni kitu kinachochangia madhara mengi sana,hasa mijini kama magonjwa,kupanda gharama za maisha, na hata mafarakano katika familia. Kutokana na hayo nilitegemea kuwaona wadau wakubwa katika kusimamia mambo ya...
  2. A

    JamiiForums Wakenya &Co. Wamekalia Mafaniko Yetu!

    hapa tatizo si mtanzania kuwa mvivu,bali ni tabia ya watanzania kutojidhamin,tunaona ni ujanja kuajiri wagen na kujiponda wenyewe,bado kuna watanzania wanawaabudu wagen,huo ni ukoloni mambo leo. Hiyo ni sawa na msemo usemao banian mbaya,kiatu chake dawa. Mbongo mwenzio unamlipa...
  3. A

    JamiiForums Tahadhari kwenu kinadada

    mh hao siku hizi wanaishi sayari nyingne.
Back
Top Bottom