Recent content by Amber Laban

  1. Amber Laban

    JamiiForums Tanzania tukalkuleti kidogo

    wewe acha uhuni, ukichukua 980 analodaiwa tukiamua kulipa na ile sh 10 aliyobaki nayo atakuwa anadaiwa tsh 970 kwa kuwa kapunguza deni, ukijumlisha deni na ile tsh 10 utakuwa umekosea coz 1000-30=970, so usijumlishe 980+10=wrng, ila chukua 980-10=970 ambalo ndo deni litakalobaki, prov...
  2. Amber Laban

    JamiiForums Tanzania Leo Bunge linaahirishwa, una maoni gani?

    je ungependa.... Magamba ni ze comedy tosha, upeo wao mdogo mno walikuwa wanatetea chama mda wte badala ya kuweka maslahi ya taifa mbele,
  3. Amber Laban

    JamiiForums Tanzania Mgao wa Umeme: Tatizo ni UKAME - Kikwete akihojiwa na BBC

    huyu jamaa hamna kitu kabisa, hivi haoni mifano toka nchi jirani, kama alikuwa anajua yote hayo kwa nini alitoa miahadi mingi, eeh Mungu tuepushie magamba huyu.
  4. Amber Laban

    JamiiForums Tanzania Moja ya Kauli za Kukatisha Tamaa za JK

    mmh! Kaz kwelii
Back
Top Bottom