Recent content by amayu

  1. A

    JamiiForums Tanzania MAHARAGE SOYA

    Wadau, natafta wanunuzi wa maharage ya soya, kilo sh.1800,serious buyer antafte kwa no 0710925731.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la asali

    Wadau habar,natafta soko la asali, nnazo lita 1000,kwa yeyote mwenye kujua anaenunua asal kwa bei za jumla nnaomba kuunganishwa nae mawasiliano 0710925731/0766089646
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ushaur

    Wadau nipeni ushaur,kuna mtu anataka nisupply bidhaa ZIFUATAZO kwa kiwanda chake, kwa vipimo vya madebe,na bizaa zenyewe ni ULEZI SOYA, UFUTA ,NGANO,MAHIND LISHE,na ameniomba nitaje bei,hvo nnaomba mnipe bei za bizaa hizo kwa hapo dar wanauzaje?ushaur wenu tafadhal
  4. A

    JamiiForums Tanzania Bei za mazao

    WAKAZ WA DAR NAOMBENI BEI ZA MASOKO YA BIDHAA ZIFUATAZO KWA BEI ZA MADEBE/NDOO LITA 20,AU KWA KILO,soya,ulezi,mahind lishe,ngano na UFUTA
  5. A

    JamiiForums Tanzania Maharage njano

    NATAFTA WANUNUZI WA MAHARAGE YA NJANO YA MBEYA, MAHARAGE MANENE NA MATAMU,KILO 1900TSH,UNAEHITAJ MAWASILIANO 0766089646,KARIBUNI
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wadau nina mahind tani 5, nauza kwa kilo sh 740

    Wadau....nina mahind tani 5,nnauza kwa kilo sh 740,anaehita kununua awe ni wa kash...nkifika kukuletea mzigo nikupima na kunipa pesa...nitafte 0766089646/0710925731
  7. A

    JamiiForums Tanzania Wapendwa natafta soko la alizeti

    Hello jf natafta mteja wa kununua mafuta ya alizet....kwa sh 55elfu,napatikana manyoni, nitafte kwa no hii 0766089646 ucni INBOX kwakua sitoweza jibu...ADMIN HAJANI APPROVE
  8. A

    JamiiForums Tanzania Wadau habar za jion, nnauza mahindi gunia 60elfu

    Wadau habar za jion, nnauza mahindi gunia 60elfu napatikana manyoni singida, nitafte kwa namba0766089646 ,nipigie au nitumie mesej kwani siwez kureply mesej, kwakua admin hajani approve
  9. A

    JamiiForums Tanzania Wapendwa natafta soko la alizeti

    Wapendwa natafta soko la alizeti, nnagunia 100,hpa singida gunia elfu 50,kwa anaehitaj au anaweza niunganisha na mtu anitafte kwa no 0766089646 ,ANIPIGIE KWAKUA SIWEZ KUREPLY MESSEJ HUMU, BADO ADMIN HAJANIAPPROVE
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mchele

    Wapendwa natafta soko la mchele wa kutoka tabora...mwenye kuhitaj kwa bei ya jumla ni 1350,kama kuna mtu anaemjua tajir yoyote anaeweza nunua asisite niunganisha 0710925731
Back
Top Bottom