Recent content by amaregesii

  1. A

    DOKEZO Wizi unaofanywa na mawakala wanaotoa gate pass stendi ya mabasi ya Nyamhongolo, Mwanza

    Kuna wizi unafanywa na mawakala wanaokata gate pass za kukuruhusu wewe abiria kuingia kwenye stendi hiyo. Kawaida ukifika kituo hicho inabidii ukate gate pass yenye thamani ya Tsh 200, na unapewa risiti na kisha unaruhusiwa kuingia. Tumefika stendi hiyo tukiwa wawili tukatoa 500, wakala akatupa...
  2. A

    Kwa ufaulu huu, je naweza kupata nafasi ya kusoma Bachelor Degree in Civil Engineering hapa Tanzania?

    Kwenye transcript yake inasoma ndio 2.8. ila ss application za chuo kwenda degree wanaangalia ya miaka yote ya diploma au mwaka wa mwisho ?
  3. A

    Kwa ufaulu huu, je naweza kupata nafasi ya kusoma Bachelor Degree in Civil Engineering hapa Tanzania?

    Nina dogo langu kamaliza diploma in civil engineering (DIT) mwaka 2022 hapo tu, ana overall GPA ya 2.8, lakini GPA yake ya mwaka wa mwisho ni 3.1. Sasa swali langu ni kwamba je, TCU wanaangalia overall GPA ya miaka yote mitatu ya diploma aliosoma au ya mwaka wa mwisho? Maana siku za dirisha...
Back
Top Bottom