Majitu mengine siju yakoje!!! Kuna shida gani kama amejoin leo leo kwa ajili ya kutafuta mume??? Wewe ulitaka ajoin kwa ajili ya kitu gani? Nyie ndo wale ambao mnashinda humu siku nzima hamna kazi ya kufanya sasa ukiona mwenzako amejoin one-time halafu anaenda straight kwenye point unaanza kutoa...
Amini usiamini wapo mkuu. Ila lazima utulie kuwapata. Hawajitangazi. sikatai kuwapata ni kazi kweli kweli maana kama neno linavyosema. thamani yao inapita vito vyote vya thamani unavyovijua wewe.
Ila "clue" mojawapo, mdadisi binti habari za wazazi wake. Kama mama yake ana hizi sifa, basi kuna...
Hii ni mada nzuri sana hasa kwa sisi wa kizazi hiki. Natumaini aliyeuliza na wanachangia wana maana halisi ya kutaka kuelewa na si mizaha mizaha kama ilivyozoeleka humu mpaka JF inadharaulika.
Well, ni kweli Jibu la msingi linapatikana katika mithali 31:10 na kuendelea. Lakini nadhani...
Wasalaam wana JF.
Ninataka kuoa. Baadhi ya sifa zangu mimi:-
- Elimu ya Chuo kikuu
- Miaka 34
- Kazi nzuri
- Ni mpole kiasi, lakini mkali sana ukinichokoza
Mke ninayemtaka awe na sifa zifuatazo
- Awe na wazazi wote wawili baba na mama. Awe anaishi nao sasa hivi au angalau kama yupo mbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.