Kwanini taasisi nyingi za serikali haziwalipi waajiriwa wapya pesa za kujikimu kwa wakati?
Kwanini taasisi nyingi za serikali haziwalipi waajiriwa wapya pesa za kujikimu kwa wakati?
Utangulizi
Kwa mujibu wa taarifa ya WHO (2019) ni kwamba kila baada ya sekunde 40 kuna mtu anajiua kwa sababu kadha wa kadha. Tatizo la watu kujiua limekua kwa kasi na linaongezeka kila kukicha na sababu zinazokusanywa za waliojiua hutofautiana kati ya mtu mmoja na mtu mwingine. Nina rafiki...
Ninacho amini ni kuwa wapo watu wangi sana wanafariki kwa kujiua kwa sababu ya msongo wa mawazo unaotokana na kupata hasara katika biashara. Sio tu biashara za mtandaoni bali pia biashara ambazo zinahusisha kukutana na watu. Mfano, wangapo wamekopa pesa benki wakalima mvua haikunyesha kwa...
Kitu kikubwa nachoamini ni kua hakuna hasara kama hasara ya kuipoteza nafsi yako. Watu wanapoteza mabilion sembuse hizi milioni. Pesa inatafutwa na itapatikana kikubwa ni kuulinda mtaji namba moja ambao ni uhai.
Kitu cha muhimu ni kuwa na jamii inayokubali kujifunza. Wengi tunajifunza vizuri zaidi baada ya kushindwa ni wachache sana wamefanikiwa moja kwa moja pasipo kushindwa. Kwa sababu hiyo nimeyaandika haya ili kuwapa tahadhari vijana ambao wanawaza kuifanya hii biashara na kuwatia moyo wale ambao...
Vijana wengi wanaumizwa na kulizwa sana. Nimeandika haya ili wengi wajifunze na wachukue hatua. Kwa kua wapo watu ambao wamefanikiwa na kufanya vizuri na kwakua wapo watu ambao wamefanya vibaya katika hizi biashara ninwazi sasa siwezi shauri watu kuacha au kuwahamasisha kufanya. Ninachowatia...
Kustaftahi
Ongezeko la vijana wengi wano maliza elimu ya juu, vyuo vya kati na shule za upili limesababisha upungufu mkubwa wa ajira nchini. Taasisi binafsi na taasisi za serikali ambazo zina nafasi ya kuajiri zimekua zikitumia mwanya wa uwingi wa wahitimu wa vyuo na vyuo vikuu kama fimbo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.