Recent content by Amani bm 150

  1. Amani bm 150

    JamiiForums Tanzania Luciferianism na Satanism ni imani mbili tofauti kwenye dini moja

    Kwakwel mkuu [emoji120]
  2. Amani bm 150

    JamiiForums Tanzania Luciferianism na Satanism ni imani mbili tofauti kwenye dini moja

    Kwakwel mkuu [emoji120]
  3. Amani bm 150

    JamiiForums Tanzania Hali imekuwa ngumu sana Wakuu. Nidhamu ya kutunza hela inahitajika

    Hatari mzee afu watu wanapiga mambo bila noma kabisa
  4. Amani bm 150

    JamiiForums Tanzania Hali imekuwa ngumu sana Wakuu. Nidhamu ya kutunza hela inahitajika

    Akili zimewaka mzee watu hatuna habari
  5. Amani bm 150

    JamiiForums Tanzania Vladmir Putin mbona haonekani kwenye majukwaa ya Kimataifa?

    Huwezi kumuona Raisi wa dunia kizembe kiasi unavotaka
  6. Amani bm 150

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Green light baby
  7. Amani bm 150

    JamiiForums Tanzania Sio sisi pekee tunaoshindwa kuwaelewa, kumbe hata wao hawajui wanataka nini

    We mkali bhna any wat sana tu we leta uongo tu mbona fresh tu
  8. Amani bm 150

    JamiiForums Tanzania Luciferianism na Satanism ni imani mbili tofauti kwenye dini moja

    Mshana Jr mkuu nina omba unisaidie kuelewa hili mimi nina abusia dhehebu la kisabato ila kuna jambo linanichanganya sana juu ya hili kanisan letu..ni hivi katika biblia kuna mafungu yanasema shetani ndie nyota ya asubuh itoayo nuru sasa hili kanisa langu wana redio station inatwa Morning star...
  9. Amani bm 150

    JamiiForums Tanzania Polisi akatwa mkono katika vurugu za Wamachinga na Mgambo wa manispaa

    Mkuu relation yake itakua mbaya sana sio utani
  10. Amani bm 150

    JamiiForums Tanzania Hali imekuwa ngumu sana Wakuu. Nidhamu ya kutunza hela inahitajika

    Noma sana mkuu nyuma kuna kanisa mbele kuna bar and lodge
  11. Amani bm 150

    JamiiForums Tanzania Hali imekuwa ngumu sana Wakuu. Nidhamu ya kutunza hela inahitajika

    [emoji16][emoji16][emoji16] mapema kabisa kamanda ebu toa lock hio mkuu iyo sehemu nakumbuka wakati nipo arusha kuna kisehemu kama hapo aisee watu wanaanza supu mixer na bia asubuh asubuh
  12. Amani bm 150

    JamiiForums Tanzania Hali imekuwa ngumu sana Wakuu. Nidhamu ya kutunza hela inahitajika

    [emoji16][emoji16][emoji16] acha nikemee pepo mkuu hili baya sana kama ndizi ya kuchoma mnanunua 500 moja nabika mkoa
Back
Top Bottom