Recent content by Aman Tarimo

  1. A

    One On One with January Makamba: Azungumzia maisha yake ya kijijini, familia na Urais 2015

    Ukisema kuhusu tarrif utamuonea ile ni ishu ya wizara ya fedha. Wale ndio wanaotunga sera za charges zoote. Sawa na sim tax ukimuunganisha kwenye lawama ni kumuonea. Kwenye suala la mawasiliano tangia wakabidhiwe wizara wamepunguza tatizo kwa zaid ya asilimia 50 kwani maeneo mengi ya vijijn...
  2. A

    One On One with January Makamba: Azungumzia maisha yake ya kijijini, familia na Urais 2015

    nimetazama interview hii kiukweli anajielewa na ni mtu mwenye mtazamo chanya na taifa hili. Maana wangekuwa waropokaji flan hapa pangechafuka. Nadhani kama vijana tunahitaji kumpa sapot kwa kumshaur na kumkosoa katika hali ya kujenga na sio kubomoa kwa maslahi ya tanzania mpya tuitakayo
  3. A

    One On One with January Makamba: Azungumzia maisha yake ya kijijini, familia na Urais 2015

    Kwa hyo kutaka kukopa kwao ni kuwa kibaraka wao. aafu suala la kufanya kubwa kwa watanzania sio mpaka agawe hela kwa kila mtu. Angalia ufanisi hata ndani ya wizara yake
  4. A

    2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    Hyo iman kwamba haijalishi we n kijana au mzee n uongo wa wazi ccm imeharibiwa na kizaz cha vijana wa zaman ambao walipoingia hawajataka kutoka licha mawazo yao kuzeeka na ndio maana tunahitaji vijana kujenga upya nchi na chama
  5. A

    Mamilioni ya Lowassa yaingia CHADEMA

    Unauliza akipita nn kitajr. Atajilipa pesa zooote za kampeni. Vijana acheni uzombi tusaport vijana wenzetu
  6. A

    Mamilioni ya Lowassa yaingia CHADEMA

    ndo tabu ya vibabu vinakaa vinaelewana kirahc havijali shida za vijana. Huu mda wa vijana no way out makamba is our next CP.
  7. A

    Mh. Edward Lowassa aina hii ya uzalendo na upendo....!!!!!! NI HATARI KWA TAIFA.

    "IKULU NI MAHALA PATAKATIFU" sasa kama mahala patakatifu panaingiliwa kwa rushwa basi hiyo ni hatari. "the means justify the end" and not "the end justify the means" sentence hizi zinazomanisha 1)njia/namna ndio inayoamua mwisho na 2) mwisho ndio unaomua njia/namna tendo lilivyofanyika...
  8. A

    2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    naunga mkono hoja aisee. kuna wanajamvi wana mawazo butu sana. tunaacha kupeana support kama vijana, tunaanza kuleta hoja mdudundiko eti "mtOto wa Fulani.." mara hivi mara vile kwan kuna mtu aliyejizaa? VIJANA TUSIWE KAMA WANAWAKE WANAODAI "WAKIWAWEZESHWA WANAWEZA". Tunahitaji kujiwezesha sisi...
Back
Top Bottom