Recent content by Aman kiki

  1. A

    Dodoso la heslb limetoka kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo wanufaika wa mikopo.

    acha kupotosha umma... Dodoso bado kutoka... Kile unachokiona kwa OLAMS ni form za ku appeal mkopo ambapo wamepew miez 3 sawa na siku 90 bt wale wa dodoso ni mwez mmoja tu... huu mchezo hauhitaji hasira...Shituka kijana..
  2. A

    Wanafunzi tuliosoma Uganda tunafanya vipi maombi TCU?

    Msaada jamani, Kwa wale wanafunzi waliosomea nje ya nchi especially Uganda tunaomba msaada jinsi ya ku apply TCU kwa anayefaham coz mwaka huu inakuwa ngumu kufanya application na hawajatoa sababu yoyote.
Back
Top Bottom