Recent content by Amaboko

  1. A

    Mbunge Saul Henry Amon afukuzwa kata ya Matwebe Rungwe

    Mwenyewe nilijiuliza kweli ile 2015,wasomi wote wale mnatuwekea mtu hata form 1 haijui imekaeje.SHAME ON YOU WANYAKYUSA
  2. A

    Mbunge Saul Henry Amon afukuzwa kata ya Matwebe Rungwe

    Inaonekana wapambe wa sauli mmepanik sana baada ya kukataliwa na wajumbe
  3. A

    Mbunge Saul Henry Amon afukuzwa kata ya Matwebe Rungwe

    Uchunguzi wa pande zote mbili utaletwa badae kwa sasa natoa zile za ghafla kama hizi
  4. A

    Rais ajaye akerwe na udini kwa vitendo

    Dau sio wa kumuongelea hapa alijaa udini uliopitiliza Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
  5. A

    Mbunge Saul Henry Amon afukuzwa kata ya Matwebe Rungwe

    Watu wanataka waone matokeo sio ahadi tu
  6. A

    Mbunge Saul Henry Amon afukuzwa kata ya Matwebe Rungwe

    Mtoa uzi ni mchunguzi wa masuala ya kisiasa
  7. A

    Mbunge Saul Henry Amon afukuzwa kata ya Matwebe Rungwe

    Labda waliokutuma wewe mimi nimeandika hapa kama mwananchi wa kawaida na mchunguzi wa masuala ya kisiasa
  8. A

    Mbunge Saul Henry Amon afukuzwa kata ya Matwebe Rungwe

    Kama akili hana wanini kumvumilia mtu kama huyo
  9. A

    Mbunge Saul Henry Amon afukuzwa kata ya Matwebe Rungwe

    Huko kwa ma chief ni ngumu mwanamke kuwaongoza
  10. A

    Mbunge Saul Henry Amon afukuzwa kata ya Matwebe Rungwe

    Mwaka huu ndani ya CCM yenyewe hapiti,wajumbe hawamtaki
  11. A

    Mbunge Saul Henry Amon afukuzwa kata ya Matwebe Rungwe

    Na rushwa ambayo wachache wanakichafua chama na mwaka huu ndio mwisho wao
  12. A

    Mbunge Saul Henry Amon afukuzwa kata ya Matwebe Rungwe

    Alichokiongea hapo kuhusu Sauli ni ukweli mtupu kati ya wabunge mizigo ule ni mzigo haswa
  13. A

    Mbunge Saul Henry Amon afukuzwa kata ya Matwebe Rungwe

    Hiki ndio kipindi ambacho itafanya kazi vizuri
Back
Top Bottom