Katika siku za hvi karibuni, kumekuwa na matukio mbali mbali yanayoashiria kuwepo kwa hali ya kutokuwa salama katika siku zijazo.
Miongoni mwa viashiria hvyo ni kuvamiwa kwa vituo vya Polisi na kuporwa kwa silaha, je tunajua hizo silaha zinaenda wapi na zijezitumike vipi? Haya ni maswali...
ktk maisha kila mmoja anakisema kile anachokiamin! mm naona anayekubali inamaana uwezowake wa kufikili naye umeishia hapo. nchi hii kila mmoja anauhuru wa kusema kile anachokiamin.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.