Recent content by Alweather

  1. A

    Waraka wasambazwa kuitafuna CCM 2010, kanisa Katoliki laukana

    Navyoona hakuna kilicho na mwanzo kikakosa mwisho nadhani hii ni ishara njema ya janja ya mafisadi na vijifisadi kuhitimika.Kwani hao wasiompenda Kikwete na utawala wake ndio hao mafisadi walioguswa na juhudi na kazi za Utawala huu,ambao awamu zote tatu walikuwa wanakula kikubwa kwa kuiba.sasa...
  2. A

    Vicky Mtetema & Flora Nducha wa BBC Waula!

    duh wanasepa lakabu wanayoyoma!!!!!! dah wako juu,kiukweli wako matiti ile mbayaaaa huwezi kudhani kama walianzia mikocheni kwenye vumbi na joto kali mpaka kwenye baridi kali
Back
Top Bottom