Recent content by AlWatan Nyuki

  1. A

    Kuchanganyikiwa noma

    Jamaa mmoja kutoka bara ya Kenya alikuwa anafanya kazi mjini Mombasa. Siku moja, kutokana na msongamano wa magari, alichelewa kufika kazini. Akiwa njiani sehemu za Mwembe Tayari ndani ya matatu (daladala),aliamua kumtumia boss wake message ya kuwa atachelewa kufika kutokana na msongamano wa...
  2. A

    Sukari kilo mbili

    Jamaa mmoja mjini Mombasa alifika mkahawani na kumuita mhudumu. Mambo yakawa namna hii: JAMAA: Chai ipo? MHUDUMU: Ipo. JAMAA: Mnauza bei gani kikombe kimoja? MHUDUMU: Shilingi Ishirini JAMAA: Na sukari itakuwa bei gani? MHUDUMU: Sukari bure JAMAA: Basi achana na hiyo chai, nifungie sukari kilo...
  3. A

    Ujinga Ni........

    1. Ujinga ni wezi kugoma na kuandamana wakidai siku za mwizi ziongezwe kutoka 40 hadi 60 2. Ujinga ni shabiki wa Arsenali kuoga na sabuni inaitwa 'USHINDI' 3. Ujinga ni kuweka status Facebook ukisema "Mwisho wa mwezi umefika." alafu Landlord wa nyumba unayoishi ana 'Like' 4. Ujinga ni msichana...
  4. A

    How Tanzanians request songs on radio-Mimi Mkenya siamini.

    How Tanzanians request songs on radio-Kuswahilisha kila jambo (eti ya kweli hayo?) Samahani naomba kuagiza nyimbo zifuatazo: 1.Duka la pipi-senti hamsini (yaani candy shop ya 50cents) 2.Mnunuzi wa kioo-senti hamsini (yaani window shopper ya 50cents) 3.Chini ya mwavuli wangu-rihana (under my...
Back
Top Bottom