Recent content by Alwatan kamba

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ili kuboresha elimu, Serikali iachane na mpango wa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti 'grade A'

    Vigezo bado ni vile vile vilifutwa lakini baadye vilirejeshwa ndivyo vinatumika mpaka sasa
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ili kuboresha elimu, Serikali iachane na mpango wa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti 'grade A'

    Katika kuboresha sekta ya elimu nchini, ni wakati sahihi wa serikali kupitia wizara ya elimu na tamisemi kuachana na mpango wa kutoa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti almaarufu 'grade A' Sababu ni hizi, 1. Mafunzo ya ualimu wa 'grade A' hayawaandai walimu hao kuendana na soko la dunia kwenye...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kuingiza siasa kwenye elimu ni kitu kibaya sana. Sioni kama kuna umuhimu wowote wa kuanzisha somo la Historia ya Tanzania

    Mheshimiwa Samia, Rais wetu kwa heshima yako naomba usitishe mchakato wa hili somo la historia ya Tanzania kwa sababu somo hili lipo linaendelea kufundishwa mashuleni isitoshe ni somo ambalo lilitaka kuanzishwa kwa interest binafsi za kisiasa hivyo halina maana yoyote kwa wanafunzi pia kwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kuingiza siasa kwenye elimu ni kitu kibaya sana. Sioni kama kuna umuhimu wowote wa kuanzisha somo la Historia ya Tanzania

    Hizi nondo ndio za kufanyia kazi sasa sio tena kuhangaika na historia ambayo tayari ipo
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kuingiza siasa kwenye elimu ni kitu kibaya sana. Sioni kama kuna umuhimu wowote wa kuanzisha somo la Historia ya Tanzania

    Somo la history ya zinjathropus na chimpanzee litaendeleo kuwepo na hili jipya litakuwepo linajitegemea ila yote yana 'specific objective' moja i.e yatakuwa ni masomo mawili tofauti yanayoelezea kitu kile kile 'historia'
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kuingiza siasa kwenye elimu ni kitu kibaya sana. Sioni kama kuna umuhimu wowote wa kuanzisha somo la Historia ya Tanzania

    Unafikiri kwa mtazamo wako jinsi unavyoona ni kipi kitaongezeka kwenye hilo somo ambacho kwa sasa wanafunzi hawafundishwi?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kuingiza siasa kwenye elimu ni kitu kibaya sana. Sioni kama kuna umuhimu wowote wa kuanzisha somo la Historia ya Tanzania

    Sikupingi lakini mbona hata sasa historia ya nchi yetu inafundishwa shuleni? Vipya gani vinatarajiwa kuongezewa kwenye somo la historia ya tanzania ambavyo havifundishwi kwa sasa? Karibu utoe majibu
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kuingiza siasa kwenye elimu ni kitu kibaya sana. Sioni kama kuna umuhimu wowote wa kuanzisha somo la Historia ya Tanzania

    Sidhani kama kutakuwa na jipya kwasababu historia ya tanzania mpaka sasa inafundishwa shuleni kuanzia msingi hadi ngazi za juu
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kuingiza siasa kwenye elimu ni kitu kibaya sana. Sioni kama kuna umuhimu wowote wa kuanzisha somo la Historia ya Tanzania

    Kelele zinasaidia kufikisha ujumbe kwa watawala kwamba hiki kitu hatukubaliani nacho. hata kama watapuuza mawazo yetu lakini ujumbe utakuwa umefika
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kuingiza siasa kwenye elimu ni kitu kibaya sana. Sioni kama kuna umuhimu wowote wa kuanzisha somo la Historia ya Tanzania

    Asante kwa mawazo mazuri mkuu. Umeongea vitu vya msingi mno. Mungu akubariki na akuzidishie maarifa mengine zaidi na zaidi
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kuingiza siasa kwenye elimu ni kitu kibaya sana. Sioni kama kuna umuhimu wowote wa kuanzisha somo la Historia ya Tanzania

    Kwani wanafunzi sasahivi hawafundishwi hiyo historia? Jipya gani litakuwepo kwenye hilo somo ambalo kwa sasa alifundishwi?
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kuingiza siasa kwenye elimu ni kitu kibaya sana. Sioni kama kuna umuhimu wowote wa kuanzisha somo la Historia ya Tanzania

    Mpaka sasa watoto wanafundishwa historia ya Tanzania kwenye somo la maarifa ya jamii, uraia na historia. Ni kipi kinachokosekana/hakifundishwi katika masomo hayo hadi tufikie uamzi wa kuanzisha historia ya tanzania kuwa somo linalojitegemea?
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kuingiza siasa kwenye elimu ni kitu kibaya sana. Sioni kama kuna umuhimu wowote wa kuanzisha somo la Historia ya Tanzania

    Asante dada pongezi zako nimezipokea, kiukweli ni jambo la kushangaza kidogo kwa sababu karibia vitu vyote vinavyohusiana na historia ya nchi hii kuanzia chimbuko la tanganyika, harakati za kusaka uhuru, kupata uhuru hadi hapa tulipo vyote wanafunzi wanafundishwa. sasa sijui ni vitu gani...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kuingiza siasa kwenye elimu ni kitu kibaya sana. Sioni kama kuna umuhimu wowote wa kuanzisha somo la Historia ya Tanzania

    Bwashee mimi ni mtanzania mzalendo nisiyefungamana na upande wowote wa chama. Twambie, somo la historia ya Tanzania litakuwa na manufaa gani kwa wanafunzi katika maisha ya kawaida baada ya kumaliza masomo yao?
  15. A

    JamiiForums Tanzania Kuingiza siasa kwenye elimu ni kitu kibaya sana. Sioni kama kuna umuhimu wowote wa kuanzisha somo la Historia ya Tanzania

    Tumekuwa tukipiga kelele kuhusu matatizo yaliyopo kwenye mfumo wetu wa elimu. Miongoni mwa matatizo hayo ni pamoja na mitaala inayotumika kutowapa wanafunzi maarifa na uwezo wa kujitegemea baada ya kumaliza masomo yao. Cha kushangaza badala ya kuumiza vichwa kutafuta suluhu ya haya matatizo...
Back
Top Bottom