Recent content by Alvin John

  1. Alvin John

    OFFER! Pata business card na lebo za bidhaa zako kwa gharama nafuu sana

    tunatoa offer (ofa) kwa wanaohitaji business cards, logo na lebo za bidhaa zao kwa gharama zifuatazo; Company logo designing = Tsh.30,000/= Business card designing = Tsh.25,000/= Product label designing = Tsh.25,000/= Business card printing = Tsh.20,000 /100pcs Label printing = Tsh.1000 /A4...
  2. Alvin John

    Nafasi za kazi za freelancers kwa wanaohitaji

    Kituo cha kujaza mafuta sindio kinaitwa sheli? au kuna tatizo mkuu!
  3. Alvin John

    Nafasi za kazi za freelancers kwa wanaohitaji

    IT Solutions.. Kwa maelezo zaidi tutafute kwa hiyo namba
  4. Alvin John

    Nafasi za kazi za freelancers kwa wanaohitaji

    Nimetoa maelezo kwa ufupi tu ndugu, nimeona labda kwa atakaehitaji hiyo kazi akisoma hapo atahamasika na kuwasiliana nasi ili tumueleze ila kwa kifupi ni masuala ya IT na tunapatikana Sinza Mori Dar es salaam pembeni ya sheli ya GBP.
  5. Alvin John

    Nafasi za kazi za freelancers kwa wanaohitaji

    Habari wakubwa! Kikundi cha wanateknolojia kilichopo Dar es salaam kinatoa nafasi za kazi kwa freelancers popote pale hata nje ya nchi. Hakuna ajira isiyokuwa na changamoto ila ukifanya kazi kwa bidii utapata kipato kizuri na uzuri ni kwamba unaweza fanyia kazi hizi popote hata ukiwa nyumbani kwako.
  6. Alvin John

    Wakati nasubiria uber, nawapatia huduma ya kutengeneza QR Code

    Ni alama ndogo ya kielektroniki inayobeba bei ya bidhaa, huduma fulani, maelezo ya bidhaa yako au biashara yako. Code hii huilinda bidhaa yako kwenye suala zima la umiliki lakini pia huipa thamani biashara yako. Mfano: Wewe unatengeneza fresh juice na kuzipaki kwenye chupa, juice zako zikawa...
  7. Alvin John

    Wakati nasubiria uber, nawapatia huduma ya kutengeneza QR Code

    Unapotengeneza business card ni unaitangaza na kuipa thamani biashara yako, lakini ukiongeza QR CODE kwenye card yako utaipa thamani zaidi biashara yako. Kwasababu asilimia kubwa ya wanaotumia code hizi ni wale waliosajili biashara zao na wengi wao wanamasoko makubwa, kwahiyo uatakapoitumia code...
  8. Alvin John

    Wakati nasubiria uber, nawapatia huduma ya kutengeneza QR Code

    Hapana, hautotengeneza nyingine ila utarudi kwetu na tutabadilisha maelezo ya code yako. Ile mashine inayosoma bei inaitwa barcode scanner, na code inayosomwa hapo ndio inaitwa BARCODE. Tofauti ya BARCODE na QR CODE ni hii; BARCODE Ili kupata Barcode unatakiwa uwe umesajili biashara yako, uwe...
  9. Alvin John

    Wakati nasubiria uber, nawapatia huduma ya kutengeneza QR Code

    Asante sana mkuu kwa swali zuri.. Jibu lako: Ukitaka kuwa na biashara iliyo hai kuna mambo kadhaa unapaswa kuzingatia ambayo ni kuwa na bidhaa bora, huduma nzuri lakini pia kuitangaza biashara yako. Kwa mtu kama wewe mwenye duka la nguo au la simu tutakutengenezea business card yenye maelezo...
  10. Alvin John

    Wakati nasubiria uber, nawapatia huduma ya kutengeneza QR Code

    Nafurahi kwa swali zuri.. Wengi hutumia barcode baada ya kusajili biashara au bidhaa zao kwasababu huwezi kupata barcode bila kuwa na leseni ya biashara na tin number! Bidhaa nyingi huwekwa barcode kwaajili ya kuonyesha bei, eneo la kiwanda au tovuti ya kampuni inayomiliki bidhaa husika. Qr code...
  11. Alvin John

    Wakati nasubiria uber, nawapatia huduma ya kutengeneza QR Code

    Nashukuru kaka kwa support yako
  12. Alvin John

    Microsoft Excel, mfumo rahisi wa kuredoki mauzo na manunuzi ya biashara yako.

    Habari wakubwa! Natoa mafunzo ya Microsoft Excel kwa undani zaidi. Watu wengi wanaitumia lakini hawawezi kuitumia kama database ya biashara yao kwa kutunza rekodi za bidhaa, mauzo au manunuzi kwenye biashara zao. Wasiliana nami nikufundishe kwa umakini kabisa na kwa uhakika kwa gharama nafuu...
  13. Alvin John

    Nauza mayai ya kuku wa kisasa kwa bei ya jumla Tsh.7500 kwa tray moja

    Nashukuru sana nitaliangalia hili
Back
Top Bottom